Naumwa, mnaonipenda niombeeni dua.

tena na ivi malaria.. na ndio inayoongoza kwa kusababisha vifo.. itabidi awe makini akifanikiwa kupona

we manoah!hebu acha kumuogopesha mgonjwa wetu!na akiiona hiyo idadi ya misaraba kwenye avatar yako anaona probability inaongezeka!!
 
tena na ivi malaria.. na ndio inayoongoza kwa kusababisha vifo.. itabidi awe makini akifanikiwa kupona
aaaaaah! manoah wewe si rafiki mwema walah!!ngoja jamaa apone lazima atakuchukulia ubavu wako kulipiza...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…