NAUMWA,NINA NYAMA NDANI YA KINYWA.kwenye mashavu kwa ndani

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
605
Nasumbuliwa na uvimbe wa nyama mdomoni kwenye mashavu kwa ndani ninapo tafuna chakula unakuta naumia sana kwani najing'ata ,naombeni msaada tafadhali kwani napata shida wakati wa kula sijui hata ni ugonjwa gani?
 
Namimi ninayo hiyo nyama kwenye shavu la kushoto lkn haina maumivu kwa upande wangu
tusubiri wataalam waje watudadavulie kuhusu hili
 
Me nilikua navyo lkn ghafla vimetoweka wala cku2mia dawa.ila cjui ni ugonjwa gani
 
Nasumbuliwa na uvimbe wa nyama mdomoni kwenye mashavu kwa ndani ninapo tafuna chakula unakuta naumia sana kwani najing'ata ,naombeni msaada tafadhali kwani napata shida wakati wa kula sijui hata ni ugonjwa gani?

Pole kwa kuumwa!
Ushauri wangu:
1: Weka picha ya huo uvimbe niweze kuona
2: Kama hutoweza kuweka picha, nenda hospital ukamuone Daktari , preferably, Dental surgeon .
 
Nenda kakate nyama izoo unaweza kuleta kansa kama unaitafuna inaoza
 
Wakuu, naombeni msaada na mimi hili tatizo limenipata ni takriban siku 4 bado hakiponi.. Dawa yake ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…