Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Naunga mkono hoja ya Mjumbe C.Magori

Azam walijengaje wao ,mbona unawaza kwa makalio
Ndio maana nasema kila siku wewe hufai kuwa jukwaa hili mapishi linakufaa

Azam unawafananisha na nyie wajinga?
Juzi tu hapa wamenunua basi lao la kisasa, nyie mmenunua ma coastal yaliyochoka kwa muhindi mzee nani yule, tena hapo baada ya kuuza kina luis..

Azam hawajajenga kwa michango hilo buku lako la mchango kaweke bando tu uruke ruke hapa.
 
Wakiamua mbona tunaweza kujenga majukwaa kwa awamu, wakianzisha hamasa kila sehemu hadi kwenye tv changia simba arena, mbona ata me nitatoa mifuko miwili ya cement
 
Wakiamua mbona tunaweza kujenga majukwaa kwa awamu, wakianzisha hamasa kila sehemu hadi kwenye tv changia simba arena, mbona ata me nitatoa mifuko miwili ya cement
Hiyo mifuko miwili ya cement si ukajengee choo kwako tu
Simba ina watu wa hovyo sana 😀
 
SIMBA ni kama katoto kadg kanapoanza kubalehe .....na kuanza kuwaletea kibur wazaz wake...........

Then baadae kanajirud baada ya kugundua ilikuwa balehe tu
Yanga wao Ni Kama mbibi aliyeingia kwny menopause tayari lkn bado haamini Kwamba Sasa yeye Ni mkavu na hana utelezi tena.
 
Yaani kujenga uwanja hadi mnyanyaswe!!!
 
Naona Magori kawasilisha wazo la ndani nje ya jukwaa.
 
Promotion ya maana utahitajika angalau kufikia angalau nusu ya hiyo project
 
Back
Top Bottom