N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Namfuatilia hapa mubashara kwenye mtandao. Msajili wa Hazina Bw. Mchechu anasema ni wakati muafaka sasa Mashirika ya Umma kuanza kuchapisha taarifa zao za Utendaji za Mwaka. Hii ni nzuri. Ila ziwe genuine tu. Tusisubiri Ripoti ya CAG. Ukitazama Private commercial institutions kama Banks wanachapisha, why not Public Institutions.