Pre GE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

Pre GE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu.

1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi

2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda")

3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE

4. Utekaji "huenda" unamtesa nafsi yake pia

5. Miradi ya Ujenzi WA barabara kusimama kwa mkandarasi kutokulipwa (so far ni zaidi ya miradi SITA ninayoifahamu)

6. Suala kongwe la kikokotoo

7. Kuzidi kupaa kwa bei ya dollar

8. Kufeli kutengeneza Katiba Mpya

9. Wakurugenzi kuendelea kusimamia chaguzi (hawa ni makada WA CCM)

10. Polisi kugeuka kuwa Wana SIASA na kuacha taaluma zao

Kwa uchache haya yote asingeweza kuyajua, suluhisho ni kukimbia. Naungana nae.

PIA SOMA
- News Alert: - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
 
Back
Top Bottom