Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Hii ni Irony.
 
Hii ni Irony.
Sisi wengine kazi ni kusema tuu na kuandika tuu, expressing our opinions with facts. Msomaji anakuwa free kupokea aonavyo yeye, be it irony, satirical, factual etc, kitu cha muhimu ni wakati uwanja wa Chato unajengwa, tukaonyesha justification ya uwanja huo na kuweka a living examples za vitu kama hivyo vilivyofanywa elsewhere and their consequences.

Siku nikipita Chato pia nitalala JS hotel na kufanya kaji utafiti fulani.

Nivizuri viongozi wetu wakajitambua kwa kufanya mambo as if wataishi milele at the same time wajiandae kama watakufa kesho!.

Ndio maana hata Mama Samia, lazima tumsaidie, mfano baada ya kusema 2025, tutakwenda na rais mwanamke, kwanza tumemuunga mkono, ila asilizungumzie tena kwasababu mpangaji wa ya 2025 sii yeye bali YEYE
P
 
Ukipiya nenda kalale CHATO BEACH RESORT, zote hizo ni za mwendazake.
 
Ukipiya nenda kalale CHATO BEACH RESORT, zote hizo ni za mwendazake.
Duh...!. Sikuwahi kulijua hili!. Mimi nilikuwa na project fulani Biharamulo, wageni wangu wazungu wakokosa hotel ya standard Biharamulo, hivyo tukaelekezwa Chato, kufika kumbe ni hotel ya Mzee Baba!. Hapo ni enzi akiwa Waziri!. Hivyo nikifika nitalala zote mbili JS na Chato Beach.
P
 
Anzia huko mwamzoni Kama unatoka uwanja wa ndege kalibia na Shule ya Mseven,kushoto kwako Kuna J's Hotel mpaka Ina zoo kubwa Sana wanyama wa kila aina wapo,ukitoka hapo ndiyo uende J's ya pale alipozikiwa ,Kisha malizia CHATO BEACH hutojuta.
 
Ulikuwa na ujasiri kuandika hiki mkuu
 
Anzia huko mwamzoni Kama unatoka uwanja wa ndege kalibia na Shule ya Mseven,kushoto kwako Kuna J's Hotel mpaka Ina zoo kubwa Sana wanyama wa kila aina wapo,ukitoka hapo ndiyo uende J's ya pale alipozikiwa ,Kisha malizia CHATO BEACH hutojuta.
Hizo JS ziko mbili?.
P
 
Pascal uliandika kutaka UTEUZI, Sasa mwendazake hayupo
Mkuu Khadija Mtalame , kama huo ndio uwezo wa uelewa wako, kuwa bandiko hili ni la kutafutia uteuzi, be it, ila nakushauri, baadhi ya mabandiko humu ni ya mambo makubwa yaliyokuzidi kimo, hivyo ukiingia kichwa kichwa, unaishia chaka!. Pole, hapa ni umeingia chaka!.
P
 
Pascal Mayalla

Nakujua ,nakutambua sana, ulitafuta sana UTEUZI WAKATI wa Jiwe Ila nachati haikuwa kwako,

Ila nakuombea uupate maana Mama akirudi ni Panga pangua juu ya REPORT ya CAG

Mungu awe nawe
 
Watalii watamiminika chato[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]leo kwa siku ni watu 4 tu wanapita hapo uwanjani chato
 
Pascal Mayalla
Nakujua ,nakutambua sana, ulitafuta sana UTEUZI WAKATI wa Jiwe Ila nachati haikuwa kwako,
Ila nakuombea uupate maana Mama akirudi ni Panga pangua juu ya REPORT ya CAG
Mungu awe nawe
Duh...!. Huo uteuzi nilikuwa nautafutia wapi?. Mtu anayetafuta uteuzi, angeweza kubandika mabandiko kama haya?.
P
 
Tukitekeleza haya niliwahi kushauri humu, uwanja wa Chato utalipa
P
 
Haya limekushuka mkuu abiria 7 kwa siku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Mkuu jaap, your concern ni very genuine, na hii ni plus plus kwa Rais Samia as An African Woman, Tanzanian Woman na a Zanzibari lady, wanawake huwa hawajengi kwao, angekuwa ni mwingine, baada tuu ya yeye kuwa Rais wa JMT, tungeshuhudia ujenzi wa Ikulu ya Kizimkazi fasta!.

Kwa vile mimi ni miongoni wa waelimishaji umma humu, kwa kuwafunza kuhusu Ikulu ya Chato Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato! na ili kurahisisha usafiri wa Chato, mimi Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!, sasa maadam kijiji alichozaliwa rais wetu ni Kizimkazi, jee kuna ubaya wowote tuanze maandalizi ya uhamasishaji wa ujenzi wa Ikulu ndogo ya Kizimkazi?. Sio lazima ijengwe kwa fedha za serikali, bali hatua ya kwanza ni tubadili baadhi ya mila na desturi za kibaguzi za asili za mtoto wa kike akiolewa, atajenga kwa mumewe kule alikoolewa!. Sasa binti huyu wa Kizimkazi ndiye rais wa JMT, apewe nafasi Watanzania tumjengee ili eneo hilo liwe ni eneo muhimu la kihistoria kijiji alipozaliwa rais wa kwanza mwanamke wa Tanzania. Rais wetu awe huru kwenda likizo ndefu Kizimkazi kama zile likizo za Chato.
Mnalionaje hili?, na hapo Kizimkazi tujenge Airstrip ya kutua gulfstream!.
P
 
Kila Rais akistaafu anajengewa nyumba kwa kigezo kuwa Baba wa Taifa alijengewa nyumba. Tunamjengea Magufuli nyumba, tumjengee Rais SSH nyumba Kizimkazi au ndiyo kwa vitendo mnatuandaa kukimbulia Burundi?
 
Kila Rais akistaafu anajengewa nyumba kwa kigezo kuwa Baba wa Taifa alijengewa nyumba. Tunamjengea Magufuli nyumba, tumjengee Rais SSH nyumba Kizimkazi au ndiyo kwa vitendo mnatuandaa kukimbulia Burundi?
Rais Nyerere aliporudi kwao Butiama hakulala hotelini, Mwinyi pia, Mkapa pia, JK as well, kwanini Samia akirejea alikozaliwa alazimike kufikia hotelini?. Lazima Kizimkazi mahali alipozaliwa rais wa sasa wa JMT, pajengwe miundombinu yenye hadhi ya pafananie!. Kama Spika Sitta akiwa tuu Spika pale Urambo pakabadilika, Nyerere na Butiama, JK na Msoga, JPM na Chato, why not Samia na Kizimkazi?.
P
 
Katika mpango wa Maendeleo ya makazi hakuna mpango wa kuboresha miundo mbinu ya Kizimkazi kama ilivyo mipango ya kuendeleza Nachingwea? Hawa Marais wote wanalipwa mishahara, haya mambo ya kuwajengea nyumba za kustaafu ni kututwisha mzigo sisi walipa tozo.
 
Hata Butiama haikuwahi kuwekwa kwenye mpango wa maendeleo, hata Chato haikuwekwa kwenye mpango wa maendeleo.

Sijasema Kizimkazi tumjengee Mama nyumba ya kustaafu, hajasema kama akistaafu anataka kuishi Kizimkazi, ila kama kwenye fomu yake a place of domicile ni Kizimkazi, then it goes without saying lazima ajengewe kwa gharama za serikali.

P
 
Kwani Ikulu zilizopo ni zanini? Watanzania wa leo si wale wa miaka ile, wana uwelewa na muwafahamishe vizuri matumizi ya tozo wanazo toa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…