Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

Kwani Ikulu zilizopo ni zanini? Watanzania wa leo si wale wa miaka ile, wana uwelewa na muwafahamishe vizuri matumizi ya tozo wanazo toa.
Ikulu ni ofisi ya rais na makazi ya rais, na ikulu ndogo ni makazi ya muda ya rais. Ikulu ndogo zipo maeneo tofauti tofauti ila eneo lolote ambalo rais wa JMT anaweza kulitumia kufanyia kazi ni ikulu ndogo. JPM alipoamua atakuwa anapumzikia Chato, tulimjengea miundombinu kuwezesha hata vikao vya cabinet kufanyikia Chato.

Rais wa sasa kwao ni Kizimkazi, akiamua ndio her place of domicile, then ni lazima tumjengee miundombinu fanania kuwezesha rais kulala kwao, kutembelewa na hata ikibidi kuteua kuapisha, kufanyia vikao. Hapo panakuwa ni ikulu ndogo.
P
 
Hakika.! USA Rais ata chakula anachokula Whitehouse anapelekewa bill.
 
Ulitabiri sahihi kabisa. Utakuwa kuwa kama jiji la Ggabolite.
 
Ila huu uzi 🤣🤣
 
Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete walikuwa na akili zaidi ya huyo successor wao.
 
Advocate hapa alipiga kiuchawa chawa zaidi
 
Niliwahi kusema kitu kuhusu huu uwanja
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…