Naungalia ugomvi wa WCB na Clouds kwa jicho la fursa kwa media nyingine

Naungalia ugomvi wa WCB na Clouds kwa jicho la fursa kwa media nyingine

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Huu ndo wakati wa media nyingine kujitengenezea biashara kwa kuongeza wafuasi ukizingatia team chibu kwa sasa imeanza kujenga chuki kwa clouds kutokana na mgogoro unaoendelea so ikitokea media yoyote ikaanza kuchukulia hii kama advantage ya kuside na WCB kibiashara wanaweza wakazoa mashabiki wote wa chibu...na huenda ndo ikawa media itakayoleta upinzani wa kweli kwa clouds..!!
 
Kwani wana ugomvi gani ? Kwani clouds wamefaidika vipi na wcb? Au wcb wamefaidika vipi labda?
 
Labda aende kwa mume mwenzie majizo ila EATV awawezi tia mguu pale
 
Kupambana na Clouds Entertainment si jambo rahisi kuwaangusha kama vile unavyodhania, walikuja E fm watu wakasema kwamba ndo mwisho wao lakin still jamaa bado wanaongoza vyema industry.. Clouds washatengeneza mizizi na naona kabisa bado ipo imara sana, wameteka watu wengi kuanzia kwa viongozi serikalini hadi taasisi binafsi.. Labda hii iwe ni sababu miongoni mwa sababu kibao za kufa au kupungua nguvu kwa baadaye kabisa.. Sipendi baadhi ya mambo yao ila jamaa wako makini sana na wanajua kile wanachokifanya.. HAWABAHATISHI.
 
Diamond uoga tu ila angeandaa fill this stadium pale taifa afu akaweka kiingilio kidogo kabisa kama buku 2000 hivi angeweka historia afrika afu kutoka hapo heshima ingekuwepo ukweli sipendi clouds wanavyojitahidi kuwaangusha wasanii wamewageuza watumwa
 
Back
Top Bottom