Kupambana na Clouds Entertainment si jambo rahisi kuwaangusha kama vile unavyodhania, walikuja E fm watu wakasema kwamba ndo mwisho wao lakin still jamaa bado wanaongoza vyema industry.. Clouds washatengeneza mizizi na naona kabisa bado ipo imara sana, wameteka watu wengi kuanzia kwa viongozi serikalini hadi taasisi binafsi.. Labda hii iwe ni sababu miongoni mwa sababu kibao za kufa au kupungua nguvu kwa baadaye kabisa.. Sipendi baadhi ya mambo yao ila jamaa wako makini sana na wanajua kile wanachokifanya.. HAWABAHATISHI.