Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini.
"Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu wa sheria ni miongoni mwa mambo ya gharama ile inliyoizungumzia . Kama Nchi TUNAKWENDA WAPI???? Hivi tunasaidia nchi kweli??? Tunamsaidia Rais kweli???" Anahoji Basila Mwanukuzi
Wanaosimamia haki wanakua sumu Ni haki mwizi wa kuku kua jela alafu wanaoiba mamilioni ya Serikali kulindwa na wanaochukua hatua dhidi yao kushughulikiwa TAMISEMII mnawarudisha wafanyakazi hao kazini baada ya mimi kuondoka? Kwa mazingira ya 'PLEA BURGAINING ' kwamba watakua wanarudisha fedha kidogo kidogo.
Mnaopewa dhamana simamieni haki, wekeni maslahi ya Taifa mbele msaidieni Mhe. Rais @samia_suluhu_hassan wasaidieni wananchi
Jengo la UTAWALA , Hospitali ya Wilaya MAKUYUNI HALI MBAYAAAAAAAA dhulma kwa wananchi mradi wa thamani zaidi 2b ambazo serikali kuu imeleta kwa wananchi wapate huduma umechezewa na hadi sasa haujaisha
TUNAKWENDA WAPI??????? 🇹🇿
HAIKUBALIKI DUNIANI WALA MBINGUNI