Mechi na simba mutapigwa za kutosha safari hiiBinafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
Amfuate Ngoma na Chirwa AzamShishimbi na yeye amegoma akidai stahiki zake au kusitishiwa mkataba, tuone na yeye kama atatendewa jama kakolanya!
Binafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
Atafute team nyingine kwetu Jangwani hatutaki mamlukiBinafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.
Aliaga kwenda msibani kwaoShishimbi na yeye amegoma akidai stahiki zake au kusitishiwa mkataba, tuone na yeye kama atatendewa kama kakolanya!
Kama tulivyoungana kumtosa Masud JumaLeo unaungana na Zahera kumtosa Kakolanya, Siku yanga ikipigwa, utaungana na Kakolanya kumtosa Zahera. Yajayo yanafurahisha
MkuuBinafsi mimi ni shabiki wa Yanga. kitendo alichofanya Kakolanya kwa mtu mwenye busara hakiwezi kuvumiliwa. Kwanza akumbuke kuwa Klabu ya Yanga ndo imempandisha chati badala yake analeta mgomo. Ni heri Klabu ibaki na makipa Kindoki na kabwili hata tukifungwa magoli kumi na Simba kuliko kumrudisha Kakolanya. Kwa nini baadhi ya mashabiki wanamuonea huruma?. Klabu imuonyeshe mlango wa kutokea. Kocha Zahera shikilia msimamo wako huo huo.