nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana yanga mmmetusitiri watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana
SASA NATAKA KUJUA KAMA TEAM YANGU YA SIMBA ITACHUKUA ZILE HELA ZA JASHO LA MASKINI WALIOINGIA UWANJANI SAA TANO MECHI IKAAHIRIHISHWA ILI TU WAFATILIE HOTUBA ZA KUZINDUA KITABU CHA 75,000 WAJIONEE JINSI RAISI MSTAAFU TAJIRI ANAVYOPEWA BENZI LA MILIONI 400 DAH KUDAKEKI WALAHI HAYA BANA
Wewe ndio unafanya tuwaite mbumbumbuHiyo mipango yao na mwanachama wao waziri wa michezo.
Walipanga kumkimbia Simba.
Kwa nini Waziri mwana utopolo alitoa maelekezo TFF ya kusogezwa muda?
Yanga acheni kutuchezea akili.Na kwa vile akili za watanzania wengi ni za hivyo hivyo,wengi wanawapongeza kwa ujinga mliofanya kupitia serikalini
Nitashangaa sana kama kutakuwa na mechi ya marudiano halafu wananchi washoboke nayo na media washoboke nayo dawa ni kususa tu wakachezie wenyewe huko na amri zao za kisengesengeKwa namna yoyote lazima TFF ikishirikiana na Wizara husika wafanye mchakato wa ku compensate/kufidia.
Kwanza, wananchi waliopoteza pesa zao kwa kukata tiketi, nauli na gharama nyingine kama malazi na vyakula....
nitakuwa wa kwanza kuwatukana na kuhimiza mechi hata za klabu bingwa tususe hakyamunguSimba hawakuitwa mbumbumbu bahati mbaya
Hiyo hela watakula
Wewe utopolo tu. Simba tususie mechi za klabu bingwa afrika,Ili tumkomoe nani?nitakuwa wa kwanza kuwatukana na kuhimiza mechi hata za klabu bingwa tususe hakyamungu
hayo ni yako wewe ule usenge uliotoikea jana unauona mdogo? au unadhani mimi siyo mwana simba? pumbavuWewe utopolo tu. Simba tususie mechi za klabu bingwa afrika,Ili tumkomoe nani?
Viingilio vitabaki vya mwanzo na waliokuwa na tiketi ndo wataingia. Uzuri ni electronic tickets na data bado zipoKwa namna yoyote lazima TFF ikishirikiana na Wizara husika wafanye mchakato wa ku compensate/kufidia.
Kwanza, wananchi waliopoteza pesa zao kwa kukata tiketi, nauli na gharama nyingine kama malazi na vyakula..
wataingia wapi hiyo mechi ya marudiano unadhani itakuwa na impact> au watasafiri kutoka zambia kama jana?kwendaaaaa mapumbavu yanzindua kitabu cha 75,000 wanataka tuingie dunia yao?Viingilio vitabaki vya mwanzo na waliokuwa na tiketi ndo wataingia. Uzuri ni electronic tickets na data bado zipo
Hiyo mipango yao na mwanachama wao waziri wa michezo.
Walipanga kumkimbia Simba.
Kwa nini Waziri mwana utopolo alitoa maelekezo TFF ya kusogezwa muda?
Yanga acheni kutuchezea akili.Na kwa vile akili za watanzania wengi ni za hivyo hivyo,wengi wanawapongeza kwa ujinga mliofanya kupitia serikalini
Wewe pimbi ule useng ulisababishwa na simba mpaka tususie mechi za club bingwa? Wewe ni tupolo funga bakuli lako [emoji34][emoji34]hayo ni yako wewe ule usenge uliotoikea jana unauona mdogo? au unadhani mimi siyo mwana simba? pumbavu
Hilo ndilo linalotakiwa kufanywanitashangaa sana kama kutakuwa na mechi ya marudiano halafu wananchi washoboke nayo na media washoboke nayo dawa ni kususa tu wakachezie wenyewe huko na amri zao za kisengesenge
Za klabu bingwa hatuwezi kususiaWewe utopolo tu. Simba tususie mechi za klabu bingwa afrika,Ili tumkomoe nani?
Vipi kuhusu gharama nyingine watu walizotumia?Viingilio vitabaki vya mwanzo na waliokuwa na tiketi ndo wataingia. Uzuri ni electronic tickets na data bado zipo
Mapato unataka achikue nani?watatokea wajinga hapa watasema mimi ni utopolo ila jana yanga mmmetusitiri watanzania tusiopenda dharau mmetupa heshima nimefuwarahia sana
SASA NATAKA KUJUA KAMA TEAM YANGU YA SIMBA ITACHUKUA ZILE HELA ZA JASHO LA MASKINI WALIOINGIA UWANJANI SAA TANO MECHI IKAAHIRIHISHWA ILI TU WAFATILIE HOTUBA ZA KUZINDUA KITABU CHA 75,000 WAJIONEE JINSI RAISI MSTAAFU TAJIRI ANAVYOPEWA BENZI LA MILIONI 400 DAH KUDAKEKI WALAHI HAYA BANA
Itakua shauri yaoVipi kuhusu gharama nyingine watu walizotumia?