ili mradi ni original inawezekana......nadhan inarun android.....so bei ntakufanyia 20,000Unaweza ku unlock zile simu za vodacom za 3g with google bei yake vp
hii sidhani kama anaweza, ila tusubiri jibu lake,,nina iphone 4s ina icloud lock sh ngapi utatoa lock??
SIU YANGU NI NOKIA N9.Je unaweza kuifanya ikawa android coz hii os ya meego haina apps za maana.Ninatoa huduma ya kuflash simu na kutoa lock za nje kwa bei rahisi sana mfano iphone 2g,3g and 4 kwa 30,000 tu....nokia kubwa kwa 30,000 ndogo ni 10,000 pekee, galaxy na nyngn bei ni 30,000 tu.....Ila simu yako iwe original. Kama uko mbali nijulishe nitasogea kukufuata. PM au shuka hapa or nitafute kwa namba 0763969066
Huawei ascend 3600 wafanya kiasi gan
mkuu kwa nn usasema hataiweza?!nataka kununua simu hiyo kwa mtu ila sijui kuhusu app zake kama wajua nijulishe kabla sijatwaa mzigo!hii sidhani kama anaweza, ila tusubiri jibu lake,,
Usinunue iPhone kama ina iCloud Lock, hautaweza kuitumia sababu utashindwa kuiUnlock,,mkuu kwa nn usasema hataiweza?!nataka kununua simu hiyo kwa mtu ila sijui kuhusu app zake kama wajua nijulishe kabla sijatwaa mzigo!