Naupata wapi utamuu

Joined
Jun 16, 2014
Posts
40
Reaction score
3
Hodi hodi wana jf; mimi ni mgen ndo kwanza mbichi sijawah hata ckumoja ila kuna mwanaume alining'ang'aniza sana kuniingiza nikawa na kataa ila jana kafanikiwa kuniingiza jf kumbe kutamu eeh; je naupataje utamu wa wana jf humu? Nataka waniingize nami niivee niwe senior; asanteni
 

ni pm tu,utaupata
 

wa kwingize wapi na nini upate utamu?, funguka tukuelewe
 
pole pole, hata mbuyu ulianza kama mchicha, utataman tena na tena..
 
nataka nipate uhakika maana kuna 'me' wanajiita majina ya 'ke' and vice versa

Dume hilo mkuu usikute lina ID mbili linataka mume. Dunia imeisha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Duuuh,,,,,,,,,,karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…