Naupata wapi utamuu

Karibu sana ingawa umekuja kwa mbwembwe. Ila anagalia usichezee koki utaloa.
 
Ha haaaa haaa nimeshaingizwaa mie utamu naupata kwa kweli tena uleeee ....jf kiboko yao kama foma gold
 
Sasa ontario nimeanza kukiskilizia kwani kotekote napata utamu si kwny siasa tu bali hata kwny uchumi na mambo ya kijamii ; naskia raha sana sasa kuna vitu bado sijavipewa ili niwe mzoefu humu nisaidien jaman;
 
Marry humbug, mrembo mashallah, giLEsi, consolata n.k n.k
 
Huyu si mgeni kaingia kivingine ila yumo humu humu tena ni senior.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…