[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kaaah
Ulikuwa unaelekea wapi?Sorry nmepotea njia.
Ulikuwa unaelekea wapi?Sorry nmepotea njia.
we bana ushavunja ahadi na mie. Si tumesema una gonga like afu unapita kimya kimya?Kwaiyo una mapenzi na ASLAY?
Mdomo wangu una kusebengo sana tatizowe bana ushavunja ahadi na mie. Si tumesema una gonga like afu unapita kimya kimya?
hahaaaaaa.Mdomo wangu una kusebengo sana tatizo
Yeah! Ila nime type vibaya ni kisebengohahaaaaaa.
Kusebengo ndo kiherehere?
Okay.Yeah! Ila nime type vibaya ni kisebengo
Kuwa makini wasije kukuzingua ukaishia kuongea vizungu vyako vile[emoji23]Okay.
Asante nimejua kuna neno kisebengo.
Leo lazma nimuite mtu kisebengo
Kuwa makini wasije kukuzingua ukaishia kuongea vizungu vyako vile[emoji23]
Unaanza zile u know sijui nini nini mimi napita tu kimya kimya.ππππna kweli.