Unaanza zile u know sijui nini nini mimi napita tu kimya kimya.
Hajaweka??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu weka picha unavyolegea mfyuuuuu
Hajaweka??
Hahah siku hizi mimi ninatabia yakucoment kwa kusoma kichwa cha habari tu,ndio maana post nyingi naingia chaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijui mie hata post sijasoma
Halafu kuna yule mshkaji ana jina flani sijui Relief alisema anataka akufuatilie mkuu, kuna siku ilionekana umemkosha sana😉😉😉😉na kweli.
alijitahid kiasi...tafuta nyimbo za hawa watoto
Mario
Jay melody
Hahah siku hizi mimi ninatabia yakucoment kwa kusoma kichwa cha habari tu,ndio maana post nyingi naingia chaka[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dogo anaimba hatari,tafuta na wa huyo mario unaitwa dar pagumu na kuna mwingine mpya mpya hviJay melody napenda goloka [emoji4][emoji4]
Aiseeee mpaka unalegea
Hii nyimbo naipenda maneno yake miye na beats zake ikiimbwa yaani ntatikisika hata kidogo
Natulia kama nanyolewa naipenda sana!
Moyo wangu wapoaa ikipigwa yaani nalegea kabisaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka picha inayoonyesha ulivyolegea mkuu
Ebu nitumie whatsapp jamaniDogo anaimba hatari,tafuta na wa huyo mario unaitwa dar pagumu na kuna mwingine mpya mpya hvi
Shemeji yake shunie kwenye ubora wake uleuleAiseeee mpaka unalegea
Unalegeaje???