Kwani we umemaanisha kulegea vipiii usituchosheKulegea kwani umeelewaje?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] muone vile
Unalegea mwili mzima au kiungo pendwa?
[emoji23] [emoji23] hapana,,katoto flan hivi cha dasilamu huko kwenuMario yule mwanamziki wa mamtoni!!!
Madai muhenga mfyuuu usikute hiyo nyimbo ya aslay umeiona leoHata siujui miye bongo fleva mpk niigumie ujue
Kuna kingine kinaweza kukulegezaNatulia tuliiiii....!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alafu unakuwa unawaza nn ukishalegea?Nalegea akili Inatulia