Uislam ukiwa na watu wachache kwenye nchi au sehem yenye mamlaka ni dini nzuri lakini tatizo ni pale wanapokuwa wengi balaa ndipo huanza.
Kunazuka mashambulizi dhidi ya wakristo kwa kuonekana ni maadui wa uislam (wao huita makafiri) - Basi hapa huzuka matukio ya wakristo kupigwa, kubomolewa makanisa, kuuawa, n.k. mifano ipo mingi sana.
Kulazimisha sheria za kiislam, kipindi cha mfungo hakuna kula, mkristo haruhusiwi kuoa mzanzibari, hakuna kula kitimoto, hakuna kunywa mvinyo, n.k.
Vizuizi vya makanisa kujengwa - makanisa hubomolewa kwa kuamini ni maadui wa uislam, vibali vya ujenzi hupigwa dana dana lakini msikiti ni haraka sana, unaweza kukuta kanisa moja au mawili kwenye mkoa mzima na hayo ni kuzugia tu kusingizia wanajali haki.