Bado hajamfikia wizkid kila mwezi anaachia mpaka sasa ameachia NNE tangu mwezi wa kwanzaTekno angekuwa mbogo mngemponda sana maana jamas kila siku anaachia ngoma
Mwaka huu tayari kashaachia
Rara
Yawa
Be
Kuna nyingine anaipromote anaitoa soon inaitwa Go
Wabongo mlivyo na gubu mngesema huyu nae nyimbo zake zinachuja kila siku anaachia ngoma mpya
Hio nyimbo ni shidaaSasa hivi ni psquare tu- No body ugly
Hawa watu nao wamerudi vizuri,ukicheki hata ile away yaani ni tatizoHio nyimbo ni shidaa
Away ni bad newz.. Hiii nobody ugly ndo kabisaa naona wamekuja kutetea kiti chaoHawa watu nao wamerudi vizuri,ukicheki hata ile away yaani ni tatizo
Hahaha ila kiboko ya yote ni Yemi Alade huyu ndo kila baada ya wiki 2 au 3 anaachia ngoma mpyaBado hajamfikia wizkid kila mwezi anaachia mpaka sasa ameachia NNE tangu mwezi wa kwanza
halafu zote mbaya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ( kwa mtazamo wangu lakini)Bado hajamfikia wizkid kila mwezi anaachia mpaka sasa ameachia NNE tangu mwezi wa kwanza
Sasa hivi ni psquare tu- No body ugly