Nautafut wimbo wa Pasha wenye maneno yafuatayo:"Thamani ya kitu ajuaye mwenye chake"

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...."

Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba anitajie hata jina la wimbo au aliyenao aniwekee hapa please .

Ni wimbo aliouimba Kwa sauti zilizolangiliwa vizuuuuuurii sana.

Msaada Please,
 
Wakuu huu wimbo haujulikani JamiiForums?
 
"Watu wanasema nisikufuateee,tena ikibidi nisikukumbuuuke,thamani ya kitu ajuaye mwenye chakee,niacheni chozi linidondoke.Nikikumbuka iyo sura yaaake ...."

Wakuu anayeukumbuka huo wimbo naomba anitajie hata jina la wimbo au aliyenao aniwekee hapa please .

Ni wimbo aliouimba Kwa sauti zilizolangiliwa vizuuuuuurii sana.

Msaada Please,
Ananifanya mi nikose raha ninayemuimbiaaa...na kama basi ananisikia mpenzi soge mpenzi sogeeaaa.unaitwa NAMUIMBIA
 
Kama umebahatisha kuipakua naomba uiweke hapa mim uko kwenye waptrick inagoma..
 
Back
Top Bottom