Nautafuta wimbo huu wa dini

Nautafuta wimbo huu wa dini

Wildlifer

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2021
Posts
1,884
Reaction score
5,235
Salaam wakuu.

Jana nilikuwa msibani, kuna wimbo niliusikia melody na mashairi yake yalinivutia. Bahati mbaya nimeufuta kimakosa baada ya kurekodi.

Baadhi ya maneno yake ni

'Mwamini Mungu ewe mwandamu kwa roho na moyo mmoja
Usijigambeee, usijitapee'.

Ni wimbo wa kwaya na si mtu mmoja na lead singer ni mwanamke. Natanguliza shukrani.
 
Subiri wenyewe waje mkuu lakini ingekuwa vizuri kama ungeweka hiyo melody kwenye audio ili iwe rahisi kueleweka kwa wadau. Niliwahi kuulizia wimbo kwa kuimba melody (instrumental) yake na kutupia JF nikafanikiwa kuupata ijapokuwa hata mashairi yake nilikuwa siyafahamu.
 
Back
Top Bottom