Subiri wenyewe waje mkuu lakini ingekuwa vizuri kama ungeweka hiyo melody kwenye audio ili iwe rahisi kueleweka kwa wadau. Niliwahi kuulizia wimbo kwa kuimba melody (instrumental) yake na kutupia JF nikafanikiwa kuupata ijapokuwa hata mashairi yake nilikuwa siyafahamu.