Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Wadau kama kichwa kijielezavyo. Kuna mwenye kuujua huo wimbo wa Josee Mara wa Mama? Nakumbuka niliwahi kuwa nao kitambo, bahati mbaya nikaupoteza. Naupenda sana huo wimbo. Mwenye nao au kujua link sahihi anisaidie. Nimeutafuta mitandaoni bila mafanikio. Shukria!