Nsumba ntale tz
JF-Expert Member
- Apr 19, 2016
- 713
- 762
Dukani ni arround 1.3mil mkuu
Mi nauza 950000 nina shida na hela mkuu, ndo maana nauza bei rafiki
Model gani mkuuWakuu habari,
Kwa mwenye kuhitaji tv tajwa hapo juu Tv ni smart 4K brand LG 49" naiuza mambo yango hayo sawa nataka kusawazisha mambo hivo naamua kuiuza
Bei ni laki 9 na nusu(950,000) mzigo upo Mwanza. Mwenye kuhitaji tuwasiliane tumalize biashara mapema sana
Ntakupa jibu
Tcl ninayo ni smart nitafute 0621632813Aseee mm nataka Nchi 32 iwe ktka campini hizi
Samsung
Lg itach
Au tcl
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ninayo star x ina miez 8 baada ya kununuliwa.... Njoo inboxAseee mm nataka Nchi 32 iwe ktka campini hizi
Samsung
Lg itach
Au tcl
Sent from my iPhone using JamiiForums
Picha changamoto kuwekaUngeweka na picha basi
Changamoto gani?Picha changamoto kuweka
Nikiupload zinagoma mkuuChangamoto gani?
Nitext namba yako nikutumie whatsapNikiupload zinagoma mkuu
Wewe ni dalali,yaani tv yako ulinunua mwenyewe usijue Mdole yake?Ntakupa jibu