Nenda kanunue piki piki used
Hiyo picha ya Tshirt na suruali vinahusianaje na kiyoyozi?WAZEE HUU NDIO MSIMU WA JOTO SASA USIKUBALI OFA KAMA HII IKUPITE HII NI AC DUAL INVETER BTU 18000, NIMEITUMIA KWA MIEZI 9 NA SABABU YA KUUZA NAHAMIA KWANGU SO SEBLE NI KUBWA ZAIDI NAFUNGA KUBWA ZAIDI YA BTU 23000 SO KWA MWENYE UHITAJI WA HII ANICHEKI CHAP NAUZA KWA SH 690,000 TU MPYA DUKANI NI SH 1,300,000 WAHI NIKUTESTIE IKUPULIZE HAPA UKIRIZIKA NAKUSHUSHIA UONDOKE NAYO NAHAMA TAREHE 17
NAPATIKANA KIGAMBONI 0678096545
View attachment 3514363View attachment 3514364
Una risitibya efd uliyonunulia?Nauza ac ya hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa
Wazee huu ndio msimu wa joto sasa usikubali ofa kama hii ikupite hii ni ac dual inveter btu 18000, nimeitumia kwa miezi 9 na sababu ya kuuza nahamia kwangu so seble ni kubwa zaidi nafunga kubwa zaidi ya btu 23000 so kwa mwenye uhitaji wa hii anicheki chap nauza kwa sh 690,000 tu mpya dukani ni sh 1,300,000 wahi nikutestie ikupulize hapa ukirizika nakushushia uondoke nayo nahama tarehe 17
Napatikana Kigamboni
View attachment 3514363View attachment 3514364
Unazo pikipiki used pia?Nenda kanunue piki piki used