INAUZWA Nauza Advanced review za Chemistry na Biology

Samwel Ngulinzira

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,972
Habari ya wakati huu!
Ninauza vitabu vifuatavyo:
Advanced Biology 1 review - 8,000/=
(1998-2014)
Advanced Biology 2 review - 8,000/=
(1998-2012)
Advanced Chemistry 1 review -8,000/=
(2000-2012)
Advanced Chemistry 2 review -8,000/=
(2002-2014).
Advanced Chemistry 1 pamphlet
4,000/=
Namba ya simu 0692-877767

 
duuuh naona mdog wang ulijipinda kusoma PCB pre form five zimetoka selection umechaguliwa HKL pole bhana iyo ndo TANZANIA yetu
 
Ningekuwa mmiliki au mwanzishaji wa uzi huu ningekupa title ya nauza vitabu vya historia yamarudio ya chemistry na biology
 
Mikoani tutapataje? Weka namba ya simu basi
Nmeweka namba ya simu tayari, kama uko mkoani tafuta mtu unayemwamini aliyeko Arusha aje na pesa nimpe mzigo.
Vinginevyo naweza kutuma kwenye basi, lakini malipo kwanza ndio natuma mzigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…