Nauza Air condition aina Samsung btu 9000

Afrolink-Tz Consult Ltd

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
424
Reaction score
950
TAARIFA: AC IMESHAUZWA

Habari zenu
Nauza ac inafaa kwa chumba size sq 14 hv maana imefungwa bado haijafunguliwa inafanya kazi. Ni kuja kuwasha kuhakiki na kama una fundi wk mnaifungua na kuondoka nayo

Ni ac ndogo btu 9000, nilikuwa naitumia mwenyewe hadi sasa ila nahama ofisi yenye ukubwa zaidi hvy haifai kutokana na saizi ya ofisi mpya

Bei sh 250,000 maongezi yapo
Mahala: Jengo la Mariam Tower, ghorofa ya nne, Mtaa wa Shaurimoyo/Songea, Ilala, Dsm
Simu/inbox/whatsapp: 0777777766|0659211222

Picha zaja.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…