Nauza Asali kwa jumla

Nauza Asali kwa jumla

econonist

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
20,189
Reaction score
29,663
Habari wandugu.

Napenda kuwataarifu ya kwamba nauza Asali kwa Bei ya jumla. Ninauza Hadi madumu hamsini ya Lita ishirini. kwa atakayehitaji tuwasiliane. Bei ya dumu moja la Lita ishirini ni shilingi laki moja themanini 180,000 Tanzanian shillings. Asali yetu ni original haijachujwa Wala kuchemshwa, imetoka shambani moja kwa moja.

Asanteni
 
Hujasema unapatikana wapi na mteja akipatikana usafiri inakuwaje
 
Asali inatokea wapi singida, tabora, kigoma, geita au wapi maana kila sehemu inatest yake,
 
180,000÷20=9000 kwa lita. Kumbuka haijachujwa! Zikichujwa zinabakia lita 15 .

Punguza bei. Uza hata laki moja kwa dumu moja ili muuzaji apate faida.
 
Back
Top Bottom