Nauza asali mbichi kutoka Tabora

Nauza asali mbichi kutoka Tabora

Weka bei ya asali kwa ujazo wa Lita pia mawasiliano yako ni muhimu. Ni vizuri useme aina ya asali aidha ya nyuki wadogo au wakubwa.
 
Nipo Dodoma mjini hapa nauza asali mbichi ila nimetoka Tabora
Tabora kuna asali za tumbaku tatizo na pili mizengo kaharibu biashara ya asali. Ili swali kwa nini viongozi wanablock biashara za ku export nje
 
Tabora kuna asali za tumbaku tatizo na pili mizengo kaharibu biashara ya asali. Ili swali kwa nini viongozi wanablock biashara za ku export nje
Kuhusu asali kuchafuliwa na tumbaku ilikuwa propaganda za walanguzi na walaghai wanunue asali kwa bei ya chini kutoka kwa wafugaji kisha wao wakauze kwa bei kubwa sana wapate faida maradufu. Siku hizi wafugaji hawadanganyiki tena.

Hilo la Mizengo Pinda kuharibu biashara ongezea nyama na ufafanue ni kivipi? Isije kuwa unamsingizia Mzee wa watu?
 
Back
Top Bottom