Prisca elisha
Member
- Oct 13, 2017
- 13
- 6
Asali inatokea morogoro wilaya kilombero ( mlimba,masagati) panaitwa ila unaletewa popote Tanzania ukihitajiAsali inatokea wapi unayouza
Asante ndugukila la khair.
Mbeya mwapatikana wapiAsali inatokea morogoro wilaya kilombero ( mlimba,masagati) panaitwa ila unaletewa popote Tanzania ukihitaji
Ukihitaji kuanzia Lita ishirini unaletewa ila sina kituo mbeyaMbeya mwapatikana wapi
Sina ya nyuki wadogo unahitaji kiasi gani hyo ya nyuki wadogo nkutafutieNataka ya nyuki wadogo
Ok sawaUkihitaji kuanzia Lita ishirini unaletewa ila sina kituo mbeya