Computer4Sale Nauza Asus laptop core i3 ikiwa na nvdia gforce 4gb dedicated graphic card with 8gb ram

LAKI SITA hiyo sina sasa hivi ila nahitaji kweli machine yenye nvidia atleast 4gb kama hiyo, uliponununua laki nane ni wapi
 
LAKI SITA hiyo sina sasa hivi ila nahitaji kweli machine yenye nvidia atleast 4gb kama hiyo, uliponununua laki nane ni wapi
Nenda pale kwenye kituo cha mabasi Kongo...hesabu jengo la kwanza la pili ,jengo la tatu kama sikosei...Kuna duka la msomali anaitwa Zaheed..
 
Jukumu lako ni kuhakikisha mali ni zako. Siku hizi electronics za mkononi zimekuwa majanga sana.

Anyway, ikitosha man nifikirie nina 400k kamili

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hiyo machine sana

Atakae nunua hatojutia, kwanza kampuni ya Asus ni nyoko sana in town hawana show mbovu
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Msifosi tucomment basi mkuu....

Mashine yenye intel core, then ina windows 11, unategemea nini hapo?

Anyway, jamani hii mashine kali sana, mwenye hiyo pesa achukue tuu hatojutia kuwa nayo ila ahakikishe anairudisha kwenda windows 10.
 
Tuanze na kampuni
Asus ni the best [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

i3, sio haba

Nvidia
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Labda hyo window 11, japo sijaona tatizo lake
 
Msifosi tucomment basi mkuu....

Mashine yenye intel core, then ina windows 11, unategemea nini hapo?

Anyway, jamani hii mashine kali sana, mwenye hiyo pesa achukue tuu hatojutia kuwa nayo ila ahakikishe anairudisha kwenda windows 10.
Kwa nini.... Fafanua kidogo please.
 
Windows 11 ina-run kuanzia intel's 8th generation.... Yani namaanisha hata ikiwa i3,i5,i7 basi ni lazima ianzie 8th gen.

Ukikuta pc ina 3rd, 4th, 5th, 6th, 7th au hizo sijui intel core, intel pentium na ina windows 11 jua ni ya ku force.
 
Wakuu njaaa imenizidiaa nachukua 550K
Asus core i3 machine ya kazi with dedicated Gforce graphics card ,8GB of Ram and 500GB hard disk
nicheki 0621973591
Risiti ya hii bidhaa ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…