Nauza bag limejaa nguo!

Nauza bag limejaa nguo!

Afande Macha

Member
Joined
Oct 12, 2023
Posts
69
Reaction score
93
Nguo jumla zipo zenyewe ni
  • kadet zipo 4
  • jeans zipo 3
  • track suit 1
Size ya kiuoni ni 30/31 nguo zote.

Nakuuzia zote na bag nakupa Bure kwa jumla 40,000 tu.

location: Ubungo Kibangu

nitumie SMS: 0752 565852

Screenshot_20231022-115631.jpg
Screenshot_20231022-115510_1.jpg
Screenshot_20231022-115622.jpg
Screenshot_20231022-115537.jpg
Screenshot_20231022-115552.jpg
Screenshot_20231022-115602.jpg

Screenshot_20231022-115614.jpg

Screenshot_20231022-120418.jpg
 
Kama hujaiba basi ww ni njagu na hizo zimekaa kinjagu njagu. Alafu kuvaliana nguo na manjagu ni nuksi wengi wenu humo jeshini mna gundu alafu nguo zimekaa kinyasa sana. Cheki upana wa suruali dah iwe ni zako au umemuibia afande hizo nguo zinaharufu ya nuksi mbaya
 
Back
Top Bottom