Kama hujaiba basi ww ni njagu na hizo zimekaa kinjagu njagu. Alafu kuvaliana nguo na manjagu ni nuksi wengi wenu humo jeshini mna gundu alafu nguo zimekaa kinyasa sana. Cheki upana wa suruali dah iwe ni zako au umemuibia afande hizo nguo zinaharufu ya nuksi mbaya