Nauza bajaj

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
960
Reaction score
927
Ndugu zangu,

Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi.
 
Ndugu zangu,

Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi. Simu: 0715551459.

Muro.
Asante mkuu...
 
Thank you....naogopa Chenge bara barani ....!
 
Ungeweka na tupicha kidogo mkuu.
Hiyo Bajaj ya India ay Mchina?
 
Ndugu zangu,

Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi. Simu: 0715551459.

Muro.

Kuna mazungumzo kwenye bei au hapa ndio imegota.
 
Baba Muro, Kapicha ka Bajaj tunakaomba si unajua tena siku hizi tu redcard twingi mitaani.
 
Ndugu zangu,

Nauza Bajaj imetumika kwa mwaka mmoja. Ni nzima na inatembea. Rangi ya Blue. Document zote zipo. Bei ni 2.5 ml. Unaweza kuja na fundi wako kwa uhakiki zaidi. Simu: 0715551459.

Muro.

Na we ni miongoni mwa mafisadi wa bajaji za walemavu nini!
Punguza basi na bei bwana...
 
Picha nitaipiga niiweke mkuu. Ni bajaj ya India 2 stroke. Iko makini.....

Piga picha, u-upload kwenye internet then uweke URL between hizi codes

*

Ikishindikana nitumie Private MSG au PM

Good Luck,
B.
 
Hesabu yake ina range kati ya 90,000 mpaka 105,000 kwa wiki inategemea na maelewano na dereva wako lakini si chini ya 90,000 kwa wiki.!

Wakuu kumbe inalipa maana naskia Tax 70,000/= kwa wiki bajaj inalipa zaidi.
 
Hivi hesabu ya bajaj siku hizi sh ngapi?

Sijui kwingine ila kule maeneo ya kwetu Tegeta hesabu ni buku 15 mpaka 20 inategemea na masharti na hali halisi ya kabajaji kenyewe.
 
....Hesabu yake ina range kati ya 90,000 mpaka 105,000 kwa wiki inategemea na maelewano na dereva wako lakini si chini ya 90,000 kwa wiki......!

Sijui kwingine ila kule maeneo ya kwetu Tegeta hesabu ni buku 15 mpaka 20 inategemea na masharti na hali halisi ya kabajaji kenyewe.

Wakuu mbona tofauti kubwa hivyo?! Nadhani inabidi tuingie barabarani wenyewe tufanye huo utafiti.
 
Wakuu kumbe inalipa maana naskia Tax 70,000/= kwa wiki bajaj inalipa zaidi.

Uki taka kuangalia ipi ina faida zaidi kati ya bajaj na taxi kuna factors nyingi za kuzingatia. Kwa mfano oil consumption, maintenance na life expectancy ya vyombo hivyo. Nilisha wahi kusikia(sina uhakika0 kwa bajaj baada ya mwaka au miaka miwili inakua imechoka na kuhitajiservice ya mara kwa mara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…