makondekoujiji
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 384
- 499
Weka beiHabari,lengo ni kununua gari.
Nauza bajaji yangu aina ya TVS king.Haina tatizo lolote.Ipo Dar chamazi.
Kwa mawasiliano njoo PM
Nimeweka bei tayari...milioni sita maongezi yapoWeka bei
Nimeweka bei na picha tayariHakuna bei
Hakuna picha
Au ni bajaji vile viatu vya mabint?
Habari,lengo ni kununua gari.
Nauza bajaji yangu aina ya TVS king. Haina tatizo lolote.
Ipo Dar Chamazi.
Kwa mawasiliano njoo PM
Bei milioni sita.(6,000,000)
Bei ni kweli umeweka. Ila picha hakuna.Nimeweka bei na picha tayari
Hapo vip?View attachment 2727052View attachment 2727053View attachment 2727054Bei ni kweli umeweka. Ila picha hakuna.
Mkuu hii bajaji bado yote,pia kama upo serious toa offer yako tufanye biasharadSasa si bora mtu akanunue mpya tu.
Hiyo 6 hata mtu wa mkataba hatakubali!