INAUZWA Nauza Bajaji yangu

INAUZWA Nauza Bajaji yangu

MACHONDELA

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
940
Reaction score
1,573
Wakuu habari zenu, nimepatwa na shida inayohitaji kupata pesa ya pamoja hivyo nimeamua kuuza bajaji yangu iliyopo Kigamboni jijini Dar es salaam.

Bajaji ipo katika hali nzuri, ruksa kuja na fundi wako kuikagua.

Bei ni 3.5m.

Kwa mawasiliano nicheki 0679993123

IMG-20200521-WA0010.jpeg
IMG-20200521-WA0008.jpeg
IMG-20200521-WA0007.jpeg
IMG-20200521-WA0005.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom