Pikipiki ya miguu mitatu (maarufu kama bajaji) aina ya tvs king (rangi nyekundu kama ilivyo pichani) inauzwa. Imetumika kwa mwaka 1, iko katika hali nzuri sana.
Bei ni Tsh 3,200,000 mazungumzo yapo. Namba ya usajili ni CGQ
Kwa maelezo zaidi; Piga simu: 0658 17 19 26.