Nauza balo za mtumba grade 1

Joined
Dec 20, 2016
Posts
96
Reaction score
115
Karibuni sana Bei chee tunauza balo za mtumba grade 1 ukitaka nguo za kupoint zipo. Tuna balo za nguo aina zote.
  • Gauni za kike
  • Suruali za kike
  • Mabwanga
  • Skin and boyfriend jeans
  • Mashati
  • T-shirt
  • Cargo jeans.
  • Cardet
  • Na nyinginezo nyingi
Tunapatikana mtongani temeke dar es salaam

Mawasiliano 0657710078
Mkoani tunatuma.

 
Kwa makadirio, baro moja la 200,000 likiisha naweza pata kiasi gani?
 
Kwa makadirio, baro moja la 200,000 likiisha naweza pata kiasi gani?
Inategemeana na eneo ulilopo ila faida ya nguo za mtumba Huwa mara mbili yake balo la 200000 linaweza kupa faida ya 150000 mpk 200000
 
Kwa makadirio, baro moja la 200,000 likiisha naweza pata kiasi gani?
Inategemeana na eneo ulilopo ila faida ya nguo za mtumba Huwa mara mbili yake balo la 200000 linaweza kupa faida ya 150000 mpk 20000
 
Kazi ni kipimo Cha utu .pambana siku ntakucheki.!
 
Mabwanga, jeje na official za ofisini sh ngap?
 
Cargo pia sh ngap?
Cargo pia sh ngap? Ila zle za kike
 
Mimi nko mwanza nahitaji kuanza uuzaji wa mitumba naomba ushuri kqbla siza anza nianze na nguo zipi mtaji wangu laki nne kamili naomba ushauri 0756857448
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…