Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Wakuu naleta uzi huu mimi ni mkulima wa bamia nipo Dar es Salaam nauza kwa bei ya shambani kama utakua mfanya biashara wa bamia au unafahamu madalali wa kununua mzigo kwa bei ya shambani au masoko kwa hapa dar tafadhari naomba nijuze, au kama unaweza nunua kwa jumla mzigo wote ulioshambqni tunaweza ongea tukavisit site.
Pamoja tulijenge taifa
Mawasiliano 0764292986
Pamoja tulijenge taifa
Mawasiliano 0764292986