Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 289
- 291
Asante kakaHeshima kwako mwamba
4000 per ndooBei ya shambani ni sh ngapi?
Upo dsm sehemu gani mkuu?Wakuu naleta uzi huu mimi ni mkulima wa bamia nipo dar es salaam nauza kwa bei ya shambani kama utakua mfanya biashara wa bamia au unafahamu madalali wa kununua mzigo kwa bei ya shambani au masoko kwa hapa dar tafadhari naomba nijuze, au kama unaweza nunua kwa jumla mzigo wote ulioshambqni tunaweza ongea tukavisit site.
Pamoja tulijenge taifa
Mawasiliano 0764292986
View attachment 3140217
VikinduUpo shamba sehemu gani
Ndo ya Lita 204000 per ndoo
Ndio mkuuNdo ya Lita 20
Nipo temekeUpo dsm sehemu gani mkuu?