Msumbufu1953
Member
- Sep 15, 2019
- 21
- 14
Nabadili biashara
Mkuu mbona picha chache, ingependeza kama picha zingepigwa katika Angle zote na muhimu zaid kwa mbele ya duka najua utasema mtu akitaka aje kiuangalia ila wengine wapo mbali hivo watatumia picha kujiridhisha
AMOS MAKALA anataka mwaga ugali. Ngoja niishie hapo. Ola muuzaji uzuri kasema waweza chukua ukapeleka kwingineKwanini unauza mkuu!
Halipo hata maeneo ya barabarani ndugu yanguAMOS MAKALA anataka mwaga ugali. Ngoja niishie hapo. Ola muuzaji uzuri kasema waweza chukua ukapeleka kwingine
Sawa mkuu nisameheHalipo hata maeneo ya barabarani ndugu yangu