Nauza barbershop

Lashaini

Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
74
Reaction score
60
Nauza barbershop yangu ipo mitaa ya Sinza,kutokana na kufanya kazi nnje ya dar usimamizi unakua mugumu ivyo kwa yoyote atakae itaji awasiliane na mimi kwa no 0653441748
 
hiyo inajumuisha vifaa vilivyopo kwenye hiyo room na room yenyewe au vipi?samahani lakini!
 
hiyo inajumuisha vifaa vilivyopo kwenye hiyo room na room yenyewe au vipi?samahani lakini!

the same quiz tunaomba majibu muuzaji
 
Eneo nimepanga sema nauza vitu vyote vilivyopo ndani na mageti yote mawili na milango nimeweka mwenyewe ivyo nauza vitu vyote vilivyopondani na vyote nilivyo weka mimi maana nilichukua fremu na kuikarabati mwenyewe
 
kwa siku kias gani kinapatikana ndugu muuzaji? M.15 KIDOGO SANA AISEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!1
 
Kodi yake ni kiasi gani kwa mwezi, na imelipiwa miezi mingapi kuanzia sasa?
 
Kodi yake inaisha mwezi wa nne ivyo tarehe 1 mwezi wa 5 inatakiwa kulipiwa,kodi 350000 ipo sinza makaburini,ukiweza kupata usimamizi kwa mwezi uwezi kosa 1.5,sema kwa sasa sina msimamizi ndio maana nataka kuiuza biashara ukiwa mbali inashida
 
Plan zangu kubwa ni kua na Barbershop mzuri ya kisasa iliyo sehemu mzuri ila nasikitika kua Bado najitahidi kuweka pesa Bank nifanikishe MALENGO, Ndo kwaanza nina M8.5,,!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…