Bata jike mkubwa ambae yupo tayar kwa kutaga 20000
Dume mkubwa 30000 - 25000 inategemea na ukubwa
Jike wenye miez 4 bei 12000- 14000 inategemea na ukubwa
Dume wenye miez 4 bei 15000 - 20000 inategemea na ukubwa pia
Na kunawadogo hao bei tunaweza ongea ukija