INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

Yoso

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
954
Reaction score
1,417
Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381

 
Muuzaji hafichi bei mkuu
Halafu wote wana umri mmoja ni mapacha
 
JF Bhana
Taja Bei
Ya Mmoja Mmoja Ana Pair Tujipime Tunaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…