SOWETO_MAN
Member
- May 4, 2021
- 69
- 32
Bata mzinga inaitwaje kwa kiingereza? Turkey au picokokHabarini za muda huu wana jukwaa, mm ni mfugaji mdogo nikiwa najihusisha na ufugaji wa kuku pamoja na bata mzinga ila nimepata changamoto kidogo ya soko la bata mzinga ndio nikaona ni wakati sahihi wa mimi kuja kwenye jukwaa hili kutafuta mtu yoyote atakae hitaji kununua bata hawa, ninao madume matatu yenye umri wa mwaka mmoja sasa na jike mmoja,,dume anakwenda kwa sh.150,000 ...jike anakwenda kwa 90,000 tu....maelewano yapo na napatikana kwa namba hii 0621599120( niko dodoma mjini)
Bata mzinga inaitwaje kwa kiingereza? Turkey au picokok
Mimi nataka tausiTurkey [emoji884]… peacock ni tausi
Daah hapana mkuu 😂😂Hao ni wa wizi, umewaiba sehemu
Wako normal kabisa ni changamoto za camera ya simu tu mkuuMbona kama wanamatege kiongozi? Kama uyo dume jike
Nyara ya serikali hyo masta, haipatikani bila maelezo na mihuriMimi nataka tausi
MkuuMimi nataka tausi