Nauza Bata Mzinga

Nauza Bata Mzinga

Lambardi

Platinum Member
Joined
Feb 7, 2008
Posts
18,813
Reaction score
21,830
Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha!
 
Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha!
mkuu kumi mbona wachache sana!waache waendelee kuzaana ili hata ukitaka kuwauza upige bingo ya ukweli!
 
Kuna mdau kashaharibu soko la bata mzinga humu,kwa hiyo wakiiona thread ni kama unawatonesha vidonda.
 
Back
Top Bottom