Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Feb 23, 2014 #1 Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha!
Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha!
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Feb 23, 2014 #2 Lambardi said: Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha! Click to expand... mkuu kumi mbona wachache sana!waache waendelee kuzaana ili hata ukitaka kuwauza upige bingo ya ukweli!
Lambardi said: Wadau heshima mbele,nimejaribu kufuga Bata Mzinga!ninao kama kumi hivi naomba connection za kuuza hasa kwenye mahoteli Dar na Arusha! Click to expand... mkuu kumi mbona wachache sana!waache waendelee kuzaana ili hata ukitaka kuwauza upige bingo ya ukweli!
Chimbuvu JF-Expert Member Joined Jul 17, 2012 Posts 4,401 Reaction score 2,341 Feb 23, 2014 #3 Kuna mdau kashaharibu soko la bata mzinga humu,kwa hiyo wakiiona thread ni kama unawatonesha vidonda.
Kuna mdau kashaharibu soko la bata mzinga humu,kwa hiyo wakiiona thread ni kama unawatonesha vidonda.