Nauza bata wa kienyeji kwa bei nafuu

Nauza bata wa kienyeji kwa bei nafuu

boy_sunday

Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
22
Reaction score
2
Rejea mada hapo juu, Nina bata wa kienyeji kwa ajili ya mboga na kufuga kama unaitaji nidm bei ya kitanzania kabisa
Dume
Uzito kg 4 - 5
Ana mwaka mmoja na miezi 6
Bei 30,000
Majike
Wanaotaga wako 2
Bei 15,000@1
Mwenye watoto yuko 1
Bei 20,000
Pia kuna makinda wako 5
Bei 10,000@1
Pia kama ukihitaji kwa mboga nakutengenezea kabisa
Napatikana makongo mbuyuni karibu na Jesus vilage
Karibuni wandugu
 

Attachments

  • IMG_20220714_143439.jpg
    IMG_20220714_143439.jpg
    3.2 MB · Views: 20
  • IMG_20220714_143357.jpg
    IMG_20220714_143357.jpg
    2.3 MB · Views: 19
Back
Top Bottom