Nimemuuliza bati kampuni gani hataki kusema, sijui wanafanyaje biashara hawa watuWeka bei elekezi mteja anaweza hamasika tokana na bei, hata lini mtafundishwa kuweka matangazo ya biashara?
Zipo bati 5 au nimekosea kujumlishaMigongo mipana
Kampuni: Ando
Gauge28
Rangi carrot
Mahali Dodoma
Vipimo
Upana cm 190
Urefu
6.0m lipo 1
4.8m Zipo 3 na
3.6m ipo 2
Jumla mita 27
Bei 13000 kwa mita
Mwenye interest tuonane
View attachment 1465179